News

Boeing 787-8 Dreamliner ni ndege ya aina gani? Boeing 787-8 Dreamliner ni ndege ya kisasa ambayo hutumia injini ya kisasa zaidi aina ya Trent 1000 TEN. Bei yake inakadiriwa kuwa $224.6 milioni.
Ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner ni ya ukubwa wa wastani, yenye injini mbili inayotengenezwa na kampuni ya Boeing ya Marekani. Matumizi yake ya mafuta ni wa asilimia 20 chini cha ndege ya ukubwa ...