WATU watatu wilayani Gairo, mkoani Morogoro wametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kuhusika na wizi wa nondo za ujenzi wa Shule ya Msingi ya Amali katika kijiji cha Kwipipa, kata ya Iyogwe ...
Alisema kampeni hiyo, inalenga kukuza matumizi ya malipo kupitia mashine za POS na eCommerce kwa ajili ya uzoefu wa usalama, urahisi, na manufaa. Kampeni hii itakayoendeshwa kuanzia Januari 10 hadi ...
Kwa mujibu wa ripoti hiyo pamoja na shuhuda za wakaazi wa mji wa Goma ni kuwa Bei ya baadhi ya vyakula muhimu imeongezeka tangu waasi wa M23 walipodai wanaudhibiti. ActionAid inasema Kutokana na ...
Mwamuzi Oliver alikumbana na meseji za vitisho baada ya kadi nyekundu hiyo na kuwafanya polisi kuingia kwenye uchunguzi huku wakiimarisha ulinzi nyumbani kwa refa huyo. Oliver alitarajia kuchezesha ...
Viongozi na wakuu wa nchi zaidi ya 50 za Afrika wanakutana katika mkutano wa bara hilo kuhusu nishati utakaoanza rasmi hivi leo jijini Dar-Es-Salaam huko Tanzania. Ajenda kuu ya mkutano huo ...
Mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC amesema ofisi yake itaomba waranti wa kukamatwa kwa wale wote wanaotuhumiwa kwa ukatili katika jimbo la Sudan la Darfur Magharibi.
The Lions have a fantastic foundation with Aidan Hutchinson, but Marcus Davenport is likely gone and Za'Darius Smith is a possible cap casualty. Even if Smith returns, he's going to be 33 this ...
Mkutano wa viongozi wa Afrika kuhusu nishati ukipatiwa jina Mission 300 umekunja jamvi jijini Dar es Salaam nchini Tanzania kwa kuzindua Mikataba ya Nishati ya Kitaifa kutoka nchi 12 za barani Afrika, ...
Alikutana na Rockefeller na nafikiri atajitoa zaidi katika mkutano wa kesho wa wakuu wa nchi za Afrika,” amesema. Ameongeza kuwa watatoa misaada zaidi kuzijengea uwezo sekta za umma na sekta binafsi.
Dar es Salaam. Rais wa mpito wa Bukina Faso, Kapteni Ibrahim Traore ambaye amekuwa kivutio kwa utaratibu wake wa kuvaa kombati za jeshi pamoja na kutembea na bastola kiunoni tofauti na marais wengine, ...
Five African National Congress (ANC) National Executive Committee (NEC) members will appear before the disciplinary committee Four of the members were implicated in the Zondo Commission of Inquiry ...
President Cyril Ramaphosa has signed into law the Expropriation Bill which repeals the pre-democratic Expropriation Act of 1975 and sets out how organs of State may expropriate land in the public ...