HATIMAYE kinyang’anyiro cha mbio za kutaka Urais kimepamba moto baada ya Katibu Mkuu wa Chama cha National League for ...
Baadhi ya vyama vya siasa nchini vimesema havina mpango wa kususia Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa kigezo cha marekebisho ya Katiba, na kwamba suala la "No Reform, No Election" ni msimamo wa Chama cha Demok ...
Mwanaidi Sarumbo ni miongoni mwa watumishi wa afya wachache, waliojitolea kuishi maeneo yasiyofikika kirahisi wakitoa huduma ...
SERIKALI imetenga ajira mpya 1,000 kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ambazo zitatolewa kwenye bajeti ya mwaka wa fedha ...
LIGI ya Championship inaendelea tena kurindima wikiendi hii, ambapo baada ya jana kuchezwa mchezo mmoja, leo mingine miwili ...
KATIKA maisha unaweza kufanya jambo likachafua taswira nzima ya jina na uhalisia wako, huenda kwa akili zako timamu au kwa ...
Hatua hii ya kutoa misaada ilichochea hasira ya mamlaka mjini Kigali na vyama vya waathirika wa mauaji ya kimbari ya Watutsi, kwa sababu Aprili 7 ni siku ya ukumbusho kila mwaka wa mauaji ya kimbari.
Angola imetangaza jana jioni katika taarifa ya ikulu ya rais kwamba mazungumzo ya amani ya moja kwa moja yatafanyika Jumanne, Machi 18, mjini Luanda kati ya wajumbe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ...
Kulingana na waziri wa Mawasiliano wa Sudan Kusini Michael Makuei hakuna vikosi vyovyote vya Uganda mjini Juba huku akidai vikosi vinavyotumwa ni kutokana na kongamano la IGAD linaloendelea.
Mahakama katika mji wa San Isidro, mjini Buenos Aires, itasikiliza ushahidi wa karibu mashahidi 120 na inaweza kudumu hadi zaidi ya mwezi. Ni kesi inatazamiwa kuzua msisimko mkubwa nchini ...
NJOMBE: KAMANDA wa Polisi wa Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mahamoud Hassan Banga, amewataka wamiliki wa kumbi za starehe, masoko na baa kuhakikisha kuwa kila mtu anayeingia na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results