HATIMAYE kinyang’anyiro cha mbio za kutaka Urais kimepamba moto baada ya Katibu Mkuu wa Chama cha National League for ...
KITUO cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeutaja Mkoa wa Morogoro ni moja ya mikoa ya kanda ya kati wenye miradi 314 iliyosajiliwa yenye thamani ya dola bilioni 4.084 ambayo imesaidia kutoa ajira 97,832.
Mwanaidi Sarumbo ni miongoni mwa watumishi wa afya wachache, waliojitolea kuishi maeneo yasiyofikika kirahisi wakitoa huduma ...
WATU wawili wamefariki katika matukio mawili tofauti akiwamo akiwemo mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Jordan aliyefia katika ...
SERIKALI imetenga ajira mpya 1,000 kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ambazo zitatolewa kwenye bajeti ya mwaka wa fedha ...
Daktari wa klabu ya Pamba Jiji, Joseph Chacha amesema wachezaji wako sawa kiafya baada ya ajali ya gari iliyotokea leo mkoani ...
LIGI ya Championship inaendelea tena kurindima wikiendi hii, ambapo baada ya jana kuchezwa mchezo mmoja, leo mingine miwili ...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema siku ya Jumatano Februari 26, 2025 analenga kukutana na mwenzake wa Marekani Donald Trump mjini Washington siku ya Ijumaa ili kukamilisha makubaliano ya ...
Hatua hii ya kutoa misaada ilichochea hasira ya mamlaka mjini Kigali na vyama vya waathirika wa mauaji ya kimbari ya Watutsi, kwa sababu Aprili 7 ni siku ya ukumbusho kila mwaka wa mauaji ya kimbari.
Alisisitiza kuwa serikali yake inajitahidi kurejesha utulivu mjini Bukavu na kulinda mipaka yake. Mvutano unazidi kuongezeka mashariki mwa DRC huku waasi wa M23 wakiungwa mkono na Rwanda wakipanua ...
Ubalozi wa China mjini Washington, katika chapisho lake kwenye mtandao wa X, ulisema: "Ikiwa vita ndivyo Marekani inavyotaka, iwe ni vita vya ushuru, vita vya biashara au aina nyingine yoyote ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results