News

"Tukio hili ni kubwa zaidi kwa sababu matokeo ya uchunguzi yanaonyesha kwamba uharibifu wa ndege isiyo na rubani ulizuia kuanamizwa kwa kundi la kigaidi lililokuwa likipanga vitendo vya kigaidi ...
Nchi hizi mbili, kila moja imemrejesha balozi wake nyumbani, kufunga anga zao, kushtumiana vikali katika taarifa za vyombo vya habari: mapambano ni ... kwa ndege hiyo isiyo na rubani ya Mali ...
Jeshi la Wanamaji la Afrika Kusini lina jumla ya meli 47, ikiwa ni pamoja na zile za kivita na nyambizi, lakini halina meli za kubeba ndege za kivita. Bajeti ya Ulinzi: Inakadiriwa bajeti ya ...
Kisha Aprili 2025, Nasa ilitoa maelezo ya uchunguzi mpya wa mwamba wa YR4 kutoka Darubini ya Nafasi ya James Webb, ikikadiria mwamba huo ni mdogo kidogo ... mwamba aina ya C 162173 Ryugu mwaka ...
National Insurance (NI) is a tax on earnings and self-employed profits. Your National Insurance contributions (NICs) are paid into a fund, from which some state benefits are paid. This includes the ...
“Rupia, Sowah ni aina ya washambuliaji ambao wana jicho ... lakini napenda zaidi kucheza namba kumi. .” anasema. Kuna baadhi ya wachezaji licha ya vipaji vikubwa na kuaminiwa ni ngumu kusafiri nao kwa ...
Unapohitaji mchezaji kama Ahoua, licha ya kuwa alikuwa mchezaji bora wa msimu katika Ligi Kuu ya Ivory Coast lazima utambue ni mchezaji wa aina gani. Tatizo letu wakati mwingine ni kumchukua kiungo ...
“Changamoto kubwa ya dunia sasa ni aina ya maandishi yanayokuza baadhi ya maadili yanayokinzana na maadili yetu. Hivyo ni muhimu kuwa na watu wanaoandika vitabu kuhusu maadili yetu kuliko kupoteza ...
Hii ni hatua ya mwanzoni kabisa wakati umekutana na mtu ambaye unaona kama ni ndoto yako imekuwa dhahiri. Mtu uliyemtamani kwa muda mrefu sana. Hapa unajihisi mwenye furaha kuliko mtu yeyote yule.
222 DNL, aina ya Yutong, kupinduka na kutumbukia bondeni katika kijiji cha Mamba Msangeni, wilayani Mwanga, saa 12 asubuhi Aprili 3, 2025. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa ...
"Baadhi ya makabila yenye silaha yanaweza yasishiriki kikamilifu katika vita hivi sasa, lakini yanakusanyika na kufanya mazoezi ili kujiandaa kwa mashambulizi. " Kwa kuwa hii ni aina ya uchokozi, ...