News
Taarifa za awali zinaashiria uwezekano wa hitilafu kubwa ya kiufundi, ambayo huenda ilihusisha ‘rotor’ kuu ya helikopta ambayo ni sehemu muhimu ya kuinua ndege hiyo ... lakini sijawahi kuona jambo la ...
zikiwa na lengo la kulinda dhidi ya aina hatari za bakteria. Chanjo ya Hib hutolewa kwa watoto, na WHO inapendekeza chanjo ya pneumococus (PCV) kwa wote. Chanjo za meningokokasi ni pamoja na zile za ...
Ikulu ya Marekani imefafanua kuwa kiasi hicho cha asilimia 125 inarejea kile kinachoitwa ushuru wa kutendeana ambao umeongezwa tangu wakati huo. Sasa wanasema kiasi hicho ni asilimia 145.
“Aina ya wachezaji kama Kagoma ni wachache kwa nyakati za sasa, ila kitu ninachoweza kumshauri afanye sana mazoezi yake binafsi yatakayomfanya awe bora na fiti muda wote,” alisema. “Simaanishi Kagoma ...
Mara nyingi maudhui yangu ni maisha ya kweli naweza nikaongea kitu, watu wanacheka lakini kweli kipo. "Mimi nakuwa kwenye mahusiano na mtu wa aina yoyote, awe maarufu au asiwe. Kuna mtu maarufu ...
Leo kwenye kipindi tumeangazia mkondo wa kwanza robo fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika, matokeo ya Uganda na Tanzania kwenye michuano ya AFCON U17 huk Morocco, nafasi ya Shujaa 7s ...
Ilikuwa ni shambulizi la tatu dhidi ya vyombo vya kijeshi vya Marekani ndani ya saa 24, Wahouthi walisema katika taarifa iliyotangazwa na Al Masirah TV. Ingawa Pentagon haikutaja aina ya ndege ...
Alisema Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) ilipata hasara ya Sh bilioni 91.8 ikilinganishwa na Sh bilioni 56.6 ya mwaka 2022/2023. Mashirika mengine na hasara zake kwenye mabano ni Shirika la ...
Tangu mwaka wa 2012, shirika hilo la ndege halijawa likiandikisha faida ambapo sasa wachambuzi wa masuala ya uchumi wanasema limeanza kuandikisha faida kutokana na mageuzi kadhaa yanayoendelea ...
KUNA lawama sasa kwamba kuna hatari ya vyanzo moto katika usafiri wa ndege, wanapokwa wamebeba ‘power bank,’ ikitajwa sasa kuwa chanzo cha moto kwenye ndege aina ya Airbus A321 ... Jambo kuu ni kwamba ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results