News

Boeing 787-8 Dreamliner ni ndege ya aina gani? Boeing 787-8 Dreamliner ni ndege ya kisasa ambayo hutumia injini ya kisasa zaidi aina ya Trent 1000 TEN. Bei yake inakadiriwa kuwa $224.6 milioni.
Ndege aina ya Boeing 777 ya shirika la ndege la Emirates iliyokua ikitokea nchini India imefanya ajali Jumatano hii wakati ilipokua ikijaribu kutua katika Dubai uwanja wa ndege wa kimataifa wa ...