Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imewekeza Shilingi bilioni 25.7 ndani ya kipindi cha miaka minne ili kufadhili zaidi ya tafiti 50 zinazolenga kuboresha sekta za elimu ...
CHUO cha Ustawi wa Jamii, kimesema kitakamilisha kwa wakati mradi wa ujenzi wa ujenzi ukumbi wa jengo la mihadhara la chuo hicho. Mkuu wa chuo hicho Dk. Joyce Nyoni amesema hayo wakati akitoa taarifa ...
Wakati NASA ilipokuwa ikichanganua matatizo ya kiufundi, kurudi kwa wanaanga hao kulicheleweshwa tena na tena. kuwa walikuwa ...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa maagizo manane kwa wizara, Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta), taasisi za ...
Akizungumza kuhusu umuhimu wa Elimu ya Ufundi Stadi, Majaliwa amesema takwimu za Shirika la Kazi Duniani (ILO) zinaonesha takribani asilimia 70 ya ajira zote ni ajira binafsi na kwa watu wenye elimu ...
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema mjadala ulioibuka kuhusu ushauri alioutoa kwa wahitimu wa vyuo vikuu kwenda kupata ujuzi vyuo vya ufundi stadi (Veta) una tija.
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema maboresho ya Sera ya Ardhi ya Mwaka 1995, yatawezesha kufanyika mambo sita ikiwa ni pamoja ...
Wakati Tanzania ikiadhimisha miaka 50 ya uanzishwaji mafunzo ya ufundi stadi, Chuo cha Taifa cha Usairishaji (NIT) kimesema ...