News
Tunaamini kupitia uwekezaji huu, Tanzania inajiweka katika nafasi ya kuwa kitovu cha utafiti na uchakataji wa urani kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati hasa kwa kuwa takwimu zinaonesha Afrika ...
BARIADI; MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Anamringi Macha, ametoa wito kwa wakazi wa mikoa ya Kanda ya ziwa Mashariki na maeneo jirani ...
YAOUNDE, CAMEROON : MGOMBEA Urais na Waziri wa zamani nchini Cameroon, Issa Tchiroma Bakary, amedai kuzuiwa kusafiri mapema ...
INDIA : MAMLAKA ya Udhibiti wa Safari za Anga nchini India imebaini ukiukaji wa kanuni za usalama 51 katika shirika la ndege ...
LUANDA, ANGOLA : UMOJA wa Mataifa umetaka kufanyika uchunguzi wa haraka, wa kina na huru kufuatia machafuko ya siku mbili ...
WAJUMBE wa mikutano mikuu maalumu ya uchaguzi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mikoa ...
IRINGA: Mji wa Mafinga umekuwa kitovu cha kisiasa baada ya wagombea wa ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumwaga sera ...
Mazungumzo ya amani yaliyozaa makubaliano hayo yaliandaliwa kwa usaidizi wa Serikali ya Rais wa zamani wa Marekani, Donald ...
Vilevile, aliitaka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuendelea na upanuzi wa Bandari ya Kwala ili ichukue mzigo zaidi huku ...
Dar es Salaam; Andy Boyeli rasmi ni mwananchi. Mshambuliaji huyo raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ...
DAR ES SALAAM: CHAMA cha Makandarasi na Watoa Huduma za Kikandarasi (TUCASA), kimeikumbusha serikali kuchukua hatua madhubuti ...
DAR ES SALAAM: MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mshauri wa Rais, Angela Kairuki, amewaomba ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results