News

Ndege hiyo iliyokuwa na jumla ya abiria na wahudumu 242 imeanguka saa 7:38 mchana leo Alhamisi Juni 12, 2025, dakika chache ...
Serikali kufanya ukaguzi maalumu katika maeneo mbalimbali kwa ajili ya kuangalia changamoto ya utumikishaji wa watoto nchini.
Serikali imeendelea kuhimiza wakulima kujiunga na mfumo wa stakabadhi ghalani kama njia ya kuwasaidia kupata masoko ya ...
Ndege hiyo inadaiwa kudondoka ardhini muda mfupi baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Ahmedabad Saa 7:38 mchana leo ...
Mikutano ya Operesheni C4C ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), inapiga hodi rasmi katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini ...
Ripoti kutoka kwa waandishi wa habari na wapigakura waliokataa kutajwa kwa sababu za kiusalama pia zimedokeza kuwepo kwa ...
Wakati pato halisi la Taifa lilifikia Sh156.6 trilioni mwaka 2024 kutoka Sh148.5 trilioni mwaka uliotangulia, sekta tatu ...
Daktari wa klabu ya Simba Edwin Kagabo amesema kuwa wachezaji wote waliokuwa wanasumbuliwa na majeraha kikosini, wamepona na ...
Wachezaji wa Simba waliokuwa na majeraha ni Moussa Camara, Valentino Nouma, Che Malone Fondoh pamoja na Mzamiru Yassin ambaye ...
Mwananchi limefanya mahojiano na Sheikh Ponda, katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, ambaye licha ya kuwa ...
Fedha hiyo ni ongezeko kutoka Sh15.95 trilioni sawa na asilimia 31.7 ya bajeti kuu ya Serikali ya Sh50.29 iliyotumika mwaka ...
Amesema wao kufanya Singeli kwa sasa sio kwa sababu muziki huo upo kwenye chati bali wameanza kuusapoti kitambo, huku wakiwa ...