News

Mtayarishaji na Muongozaji wa Tamthilia inayofanya vizuri katika mtandao wa YouTube ya ‘Dunia’ Issa Madinga maarufu Baba Asma ameweka wazi kukataa mapendekezo kadhaa kutoka kwa wamiliki wa ...
Filamu 68 zitachuana kuwania tuzo katika Tamasha la 28 la Kimataifa la Filamu (ZIFF) linalotarajiwa kuanza kufanyika Juni 25 ...
Mjadala unaoendelea kuhusu matishio ya kiusalama yakiwemo matukio ya ama watu kutekwa au kuuawa ambayo yamezua wasiwasi ...
Wakati pato halisi la Taifa lilifikia Sh156.6 trilioni mwaka 2024 kutoka Sh148.5 trilioni mwaka uliotangulia, wabunge wameonyesha hofu juu ya hali ya kukua kwa uchumi wa Tanzania huku ukuaji ...
Mawaziri wa Fedha wa nchi za Afrika Mashariki jana waliwasilisha bajeti za Serikali zao kwa mwaka wa fedha 2025/2026, huku ...
Jeshi la Jadi Sungusungu Wilaya ya Shinyanga limeweka kanuni 33 zitakazotumika kudhibiti uhalifu kwenye maeneo yao ikiwa ni ...
Mbunge wa Viti Maalum Bernadetha Mushashu ameshangaa kwa nini Mkoa wa Kagera kila wakati unatajwa kuwa ni masikini.
Tanzania imeingiza kiasi cha Sh300 bilioni baada ya kuuza tani 150,000 za ufuta nje ya nchi kupitia Mfumo wa Stakabadhi za ...
Tofauti ya majina kati ya kanisa linalodaiwa kufutwa na Msajili wa Jumuiya za Kiraia na lile la Glory of Christ Tanzania Church linalomilikiwa na Askofu Josephat Gwajima, limefanya maombi yao ...
Raia wa Watanzania waliopata mafunzo ya ulinzi wa amani yaliyotolewa na Chuo cha Mafunzo ya Ulinzi wa Amani Tanzania (TPTC) ...
Siku moja baada ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kuwasilisha bajeti kuu kwa mwaka wa fedha 2025/2026, wataalamu na ...
Dada wawili waliokuwa wakisafiri kwenda kumtembelea bibi yao kwa ajili ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ni miongoni mwa ...