News
JKU kutoka kisiwani Unguja, imefuzu nusu fainali ya Kombe la Muungano baada ya kuifunga Singida Black Stars ya Tanzania Bara kwa penalti 6-5 katika mchezo wa robo fainali ya kwanza uliochezwa ...
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Simbu, leo Aprili 24, 2025 amerejea nchini akitokea Marekani alikokwenda ...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limefanya mabadiliko ya ghafla ya refa wa mechi ya marudiano ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya Stellenbosch na Simba ...
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Gibril Sillah amesema kwa namna Ligi ya Tanzania ilivyo ngumu na ushindani wa juu inastahili ...
KIPA wa Fountain Gate raia wa Nigeria, John Noble ameitwa Kamati ya Maadili ya klabu hiyo, kwa lengo la kuhojiwa kutokana na ...
Baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Crystal Palace, Arsenal imejikuta ikiipunguzia Liverpool idadi ya pointi ...
Manchester United inaamini mshambuliaji wa Wolverhampton, Matheus Cunha, ndiye chaguo sahihi la kuimarisha safu yao ya ...
MWIGIZAJIi wa Bongo Movies, Mariam Ismail amefunguka kuwa, kila anapopata nafasi ya kukutana na muigizaji mwenzake, Jacob ...
ULIMWENGU wa michezo unasahau haraka sana. Huwasahau haraka wadau wake na hasa wale walioweka rekodi katika kutenda shughuli ...
MWANAMITINDO Hamisa Mobetto ameibua gumzo kufuatia muonekano wake wa sasa unaomuonyesha akiwa na dalili zote za kuwa mjamzito ...
AL-Hilal imewasilisha ofa ya Pauni 75 milioni kwenda Barcelona kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa timu hiyo ya Catalunya, ...
Mbali na kushiriki na kuwania kwenye Tuzo za Muziki (TMA), mwanamuziki huyo alikuwa miongoni mwa wasanii waliopafomu kwenye ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results