News

Ndafu ni nyama ya mbuzi ambayo ni maarufu kwa kabila la Wachaga huandaliwa kwa kuokwa na kupambwa kiaina na viungo vya karoti, vitunguu na nyanya maalumu kwa kuliwa kwenye sherehe mbalimbali zikiwamo ...
Waasi wa M23 wamesitisha ushiriki wao katika mazungumzo ya moja kwa moja na serikali ya Kongo huko Doha, nchini Qatar. Majadiliano haya, ambayo yalichukua karibu wiki tatu, hayakuzaa matunda ...
Waziri Mkuu wa Japani Ishiba Shigeru amehudhuria Mkutano wa Baraza la Usalama wa Taifa kujadili masuala ya usalama wa kiuchumi kuhusu hatua za ushuru za Rais wa Marekani Donald Trump. Serikali ya ...
sasa lina mwanachama mmoja wa kudumu anayevamia nchi moja, huku mjumbe mwingine akishiriki katika mzozo kinyume na maazimio ya Baraza," Ruto amesema. Amedai kuwa muundo wa sasa wa Baraza hilo ...
hasa dhidi ya timu zinazocheza vizuri mbele ya mashabiki wao. Mchango wa Jean Charles Ahoua hauwezi kubezwa tangu ajiunge na Simba. Ndiye aliyewapa Simba bao muhimu Simba pale Zanzibar.
Mazishi ya Papa Francis yatafanyika Jumamosi katika uwanja wa St Peter's Square, Vatican imethibitisha, huku mamia kwa maelfu wakitarajiwa kuhudhuria. Mkuu huyo wa Kanisa Katoliki alifariki ...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema kuwa sekta ya madini imepiga hatua kubwa na ya kihistoria kwa mchango wake kufikia asilimia 10.1 kwenye pato la Taifa mwaka 2024. Amesema lengo lililowekwa ...
ambazo ndizo zinazokumbwa na athari mbya zaidi za mabadiliko ya tabianchi licha ya kuwa na mchango mdogo katika utoaji wa hewa chafuzi duniani. “Afrika na maeneo mengine ya dunia yanayoendelea ...
Wizara ya Madini imetangaza kuwa Sekta ya Madini nchini Tanzania imepiga hatua kubwa ya kihistoria kwa kufikia mchango wa asilimia 10.1 katika Pato la Taifa mwaka 2024, ikiwa ni mwaka mmoja kabla ya ...
ambao wako katika hatari kubwa ya ukatili wa kingono unaohusiana na migogoro. Onyo hilo limetolewa leo na Maafisa waandamizi wa Umoja wa Mataifa wakiongeza kuwa pande zote zinazohusika katika mgogoro ...
Hakuna ubishi kuwa Magi ana mchango wa moja kwa moja kwa Mo Salah hadi sasa ambapo ni mchezaji mkubwa duniani na mwenye nguvu ya ushawishi akiwa ndiye staa Afrika mwenye wafuasi wengi zaidi Instagram, ...