News

Serikali inatambua mchango wa Chuo hiki kwa askari wote, amesema Dk. Biteko. Katika hatua nyingine, Dk. Biteko amechangia mabati 300 kwa ajili ya ukamilishaji wa ujenzi wa darasa katika Chuo cha ...
Ikulu ya Marekani imefafanua kuwa kiasi hicho cha asilimia 125 inarejea kile kinachoitwa ushuru wa kutendeana ambao umeongezwa tangu wakati huo. Sasa wanasema kiasi hicho ni asilimia 145.
Wakati wa mazungumzo kwa njia ya simu mnamo Aprili 7 yaliyodumu dakika 25, Ishiba na Trump walikubaliana kuwa watateua mawaziri watakaosimamia mazungumzo na kuendelea na majadiliano.
akisema aliwahi kujaribiwa kuhongwa na watu wa Simba ili apate kadi ya njano kuelekea mchezo wa watani wa jadi ili aukose mchezo huo. Hizi zilikuwa tuhuma kubwa sana lakini hakuna hatua iliyochukuliwa ...
Nyumba ya sanaa juma hili imekutana na wasanii wa mjini Beni mkoani Kivu kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ambao wamekuwa wakihimiza amani katika nyimbo zao, sanaa ya muziki ...
Msimu huu wa 2024-25 umejaa vipaji vilivyobobea katika maeneo mbalimbali ya ufyatuaji wa mikwaju, kila mmoja akiwa na mchango wa aina yake kwa timu yake. Tukiangazia vipengele vinne vya msingi vya ...
akieleza kuwa anaendelea kuwasiliana kwa karibu na Mratibu wa misaada ya dharura na timu ya Umoja wa Mataifa nchini Myanmar. Ametambua mchango wa majirani wa Myanmar na mifumo ya ASEAN katika kutoa ...
Marekani imeendeleza mashambulizi yake ya anga katika mji mkuu wa Yemen, Sanaa usiku wa kuamkia leo Jumamosi na kuua mtu mmoja.Marekani katika taarifa yake imesema mashambulizi ya hivi karibuni ...
kama zawadi kwa kutambua mchango wake katika kanisa hilo, akiwa kama Askofu wa Mkuu wa kwanza kanisa hilo. Bernardo katika kesi hiyo, anadai alipwe Sh3.72 bilioni ambayo ni fidia ya hasara ya kifedha ...
"Afya ya binadamu inategemea kile tunachokula, ubora wa udongo wetu, mimea yetu, wanyama wetu," rais wa Ufaransa pia ameeleza, akitangaza katika hafla hii mchango wa dola bilioni 27 ili kutoa ...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Thérèse Kayikwamba Wagner, amefanya ziara rasmi nchini Afrika Kusini Lengo ni kutoa shukrani kwa nchi za Jumuiya ya kiuchumi ya kusini ...