MKUTANO wa pamoja wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), wamekubaliana hatua muhimu 13 kuchukuliwa, ikiwamo kusitishwa kwa mapigano ...
Pia amewataka vijana wasomi nchini kushirikiana na kampuni mbalimbali za uzalishaji kutumia fursa ya ukuaji wa Fursa za Afrika (AGOA) kupeleka bidhaa nyingi kutoka Tanzania kwenye soko la Marekani.