Kupitia barua iliyotumwa kwa Tume ya Umoja huo kuhusu haki wa binadamu, Human Rights Watch inasema, imechukua hatua hiyo baada ya watu 11 kukamatwa na kuzuiwa kwa kuukosoa uongozi wa kijeshi.
Baada ya raundi saba za upigaji kura, Raila Odinga alijiondoa ... Rais Samia Suluhu Hassan walizuru Nairobi, Kenya kwa mualiko wa Rais William Ruto kama njia ya kutafuta ungwaji mkono kwa Raila ...
Katika uchaguzi huo uliofanyika Jumamosi hii katika makao makuu ya Umoja wa Afrika, mjini Addis Ababa, Ethiopia, Odinga aliongoza katika raundi mbili za mwanzo, akipata kura 20 na 21 dhidi ya 18 ...
Picha na Beldina Nyakeke Musoma. Mfumo wa usajili wa maombi na taarifa za wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri kupitia mtandao wa 'Wezesha Portal' umekumbwa na changamoto ...
Tunaangazia vídeo ya kupotosha kwenye mtandao wa X, inayodaiwa kuwaonyesha wanajeshi wa Tanzania wakiwa wamezingirwa na kushambuliwa na waasi karibu na uwanja wa ndege wa Goma.Hawa wanaodaiwa ...
Katibu Mkuu ametangaza uzinduzi wa Mpango wa Mahitaji na Hatua za Kibinadamu Sudan 2025, unaohitaji dola bilioni 6 kusaidia karibu watu milioni 21 nchini Sudan na wakimbizi milioni 5 katika nchi ...
nchi ambazo ufikiaji wa mtandao ni wa juu mara nyingi hushuhudia watoto watoto wakiwa hatarini kukumbana na ujumbe wa chuki na picha za vurugu mtandaoni. Ingawa hivyo, intaneti inaweza kuchochea ...
Mkataba wa Mfaransa huyu unatarajiwa kumalizika mwaka 2027, tangu kuanza kwa msimu huu amecheza mechi 36 za michuano yote na kutoa asisti saba. Charles de Ketelaere BENCHI la ufundi la Manchester City ...
Rai hiyo imetolewa katika Semina ya Elimu ya Fedha iliyotolewa katika Kata za Pasua na Majengo, Wilaya ya Moshi Manispaa Mkoa wa Kilimanjaro. Akiongea katika semina na Wajasiriamali wadogo, Vyama vya ...
Kuhusu meli ya Mv Mwongozo, amesema mchakato wa kumpata mkandarasi wa kuikarabati meli hiyo uko katika hatua za mwisho na tayari mkandarasi M/S Songoro Marine ameshapatikana na kwa sasa taratibu za ...
SHAHIDI wa upande wa Jamhuri, Sajenti Chedy amedai mahakamani kwamba hajui washtakiwa katika kesi ya kusafirisha kilogramu 15.8 za dawa za kulevya aina ya heroine walikamatwa lini. Shahidi alidai hayo ...
A workshop will be held on Tuesday, Feb. 18, from 8 a.m. to 11:30 a.m., at the McGregor Training Center, 401 Airport Rd., Colfax, WA. OLYMPIA – WSDA and the Oregon Department of Agriculture (ODA) are ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results