Abdalla Seif Dzungu Chanzo cha picha, Getty Images Mwanamuziki kutoka Marekani Chris Brown amejumuishwa pamoja na wasanii kutoka Nigeria katika kitengo cha Msanii bora wa Afrika katika tuzo za 2025.
mwamuzi Arajiga alikuwa mkali kwani dakika 25 za kwanza aliwaonyesha kadi za njano wachezaji wanne, Salum Khamis Salum, Hassan Maulid Nassoro na Wilson Nangu wa JKT Tanzania sambamba na Kennedy ...
Kupitia barua iliyotumwa kwa Tume ya Umoja huo kuhusu haki wa binadamu, Human Rights Watch inasema, imechukua hatua hiyo baada ya watu 11 kukamatwa na kuzuiwa kwa kuukosoa uongozi wa kijeshi.
Siku ya Ijumaa, mawaziri wa mambo ya nje wa kambi mbili za kikanda tayari walijaribu kukubaliana. Ili majadiliano haya yafanikiwe, ofisi ya rais wa Kongo tayari imetangaza madai yake: kusitisha ...
Baada ya raundi saba za upigaji kura, Raila Odinga alijiondoa ... Rais Samia Suluhu Hassan walizuru Nairobi, Kenya kwa mualiko wa Rais William Ruto kama njia ya kutafuta ungwaji mkono kwa Raila ...
Viongozi na wakuu wa nchi zaidi ya 50 za Afrika wanakutana katika mkutano wa bara hilo kuhusu nishati utakaoanza rasmi hivi leo jijini Dar-Es-Salaam huko Tanzania. Ajenda kuu ya mkutano huo ...
Katika muda wa nyongeza, Lazio walipoteza wachezaji wawili zaidi kwa kadi nyekundu za moja kwa moja. Adam Marusic alitolewa kwa kumbwatukia mwamuzi, huku Matteo Guendouzi akitolewa nje baada ya ...
Mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC amesema ofisi yake itaomba waranti wa kukamatwa kwa wale wote wanaotuhumiwa kwa ukatili katika jimbo la Sudan la Darfur Magharibi.
Picha na Beldina Nyakeke Musoma. Mfumo wa usajili wa maombi na taarifa za wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri kupitia mtandao wa 'Wezesha Portal' umekumbwa na changamoto ...
Ripoti za uhalifu wa kikatili na mashambulizi ya kiholela Wataalamu hao wa Umoja wa Maataifa wameeleza wasiwasi wao mkubwa kuhusu ripoti za mashambulizi yasiyolengwa na mauaji ya kulengwa, ikiwa ni ...
Mtaalamu Huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu za watu wenye ualbino, Muluka-Anne Miti-Drummond, leo Februari 7 jijini Geneva, Uswisi amepongeza uamuzi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za ...
Rai hiyo imetolewa katika Semina ya Elimu ya Fedha iliyotolewa katika Kata za Pasua na Majengo, Wilaya ya Moshi Manispaa Mkoa wa Kilimanjaro. Akiongea katika semina na Wajasiriamali wadogo, Vyama vya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results