Japani imezindua Kamandi ya Operesheni za Pamoja leo Jumatatu ili isimamie matawi yote matatu ya Kikosi chake cha Kujihami, SDF, chini ya mamlaka moja.