Bodaboda wanaokesha kazini ‘popo’ ni sehemu muhimu ya mfumo wa usafiri nchini Tanzania, wakihudumia watu wanaosafiri nyakati mbalimbali ikiwamo usiku kwa sababu mbalimbali.
WATAFITI kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) wameeleza ya kwamba wananchi wengi wanaoishi vijijini katika ...
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekusudia kuhakikisha mazingira ya utoaji wa elimu yanakuwa salama ...
NAIBU Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya ameutaka Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kubuni mkakati utakaowezesha ...
LICHA ya Juhudi za serikali kuhusu haki za wanawake, suala la ukatili dhidi ya wanawake limeongezeka na kuchukuliwa kama janga. Akizungumza Machi 21, 2025, kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, wakati ...
Kufuatia ajali ya moto iliyoteketeza karakana na mabanda ya kuuzia samani za ndani katika Mtaa wa Ngoto mjini ya Morogoro, ...
WAKATI Ligi Kuu Bara ikisimama hadi Aprili Mosi ili kupisha kalenda ya mechi za kimataifa kwa timu za taifa zinazochuana kusaka tiketi ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2026, ...
Hatua hii ya kutoa misaada ilichochea hasira ya mamlaka mjini Kigali na vyama vya waathirika wa mauaji ya kimbari ya Watutsi, kwa sababu Aprili 7 ni siku ya ukumbusho kila mwaka wa mauaji ya kimbari.
Muhoozi mapema wiki hii iliyopita alifichua mipango ya kusaini Mkataba wa Ulinzi kati ya Uganda na Rwanda. Muhoozi, mshirika wa karibu wa Kagame, alitoa tangazo hilo kabla ya safari yake kwenye ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results