News

Lundenga aliyekuwa mkurugenzi wa Lino Internation Agency, waandaaji wa Miss Tanzania tangu 1994 hadi 2018 amefariki jana ...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Polisi wa eneo la Kigezi, Elly Maate mwili wa Kiconco umepelekwa Hospitali ya ...
Miili hiyo iliwasili katika viwanja hivyo kuanzia saa 5:00 asubuhi kwa ajili ya shughuli ya pamoja ya kuuaga, kutokana na ...
Wachimbaji watatu wa dhahabu katika Kijiji cha Mwabomba, Wilaya ya Ushetu mkoani Shinyanga, wamefariki dunia baada ya ...
Huu ni msimu wa kwanza kwa Clement Mzize kufunga zaidi ya mabao 10 kwenye msimu mmoja wa Ligi Kuu tangu alipoanza kuichezea ...
Kwa kuliona hilo wadau mbalimbali wamekuwa wakijitokeza kuwasaidia wasichana hao ili waweze kufikia ndoto zao. Mafunzo ya ...
Mawaziri wanaosubiriwa ni Mohamed Mchengerwa (Tamisemi), George Simbachawene (Utumishi na Utawala Bora), Profesa Kitila ...
Sehemu kubwa ya maziko ya papa huwa anayapanga mwenyewe na kumwachia Kardinali Carmelengo jukumu la kutekeleza.
Wakati Jeshi la Polisi mkoani Mbeya likiendelea na operesheni maalumu kupambana na kudhibiti uhalifu, limekamata shehena ya ...
Tukio hilo limesababisha zaidi ya maeneo 14 yameathiriwa kwa kukosa umeme wakati Shirika la Umeme Zanzibar likiendelea na ...
Rome, Italia. Huenda tukamshuhudia Papa wa kwanza mweusi au kutoka bara la Afrika, au huenda akachaguliwa yule Kardinali ...
Imeelezwa kuwa uwepo wa vijana waliokosa maadili mema ndani ya jamii kunasababishwa na wazazi wao kushindwa kusimamia malezi ...