News

Ikiwa imepita miezi minne tangu Mwananchi iripoti habari kuhusu baadhi ya wanachama wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) ...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema matumizi ya teknolojia katika sekta ya elimu ni hitaji la lazima na siyo hiari tena.
Baadhi ya wananchi wa Kata ya Mabogini, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia mkandarasi anayejenga barabara eneo ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, John Heche amewataka Watanzania kutopuuza siasa, akisema ndio msingi utakaoboresha maisha yao.
Askofu wa Jimbo Katoliki la Shinyanga, Liberatus Sangu ametoa wito kwa waumini kudumisha upendo ndani ya familia zao, ...
Aliyewahi kuwa mbunge wa Kilwa Kusini, Seleman Bungara (Bwege) ameeleza magumu anayopitia kwenye ugonjwa wa figo unaomsumbua ...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam kupitia Kampuni ya DP World umeongeza mapato, ...
Serikali mkoani Mara imejenga nyumba mpya tatu na kufanya ukarabati mkubwa wa nyumba 33 za wakazi wa Manispaa ya Musoma, ...
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikiendelea kutangaza ajenda yake ya No Refomrs, no election, Waziri wa ...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ugawaji wa tuzo za wanahabari zinazofahamika kama 'Samia Kalamu ...
Fredrick Nyambo (40), Mwalimu wa Shule ya Sekondari Hayombo katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya, amefariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana waliomdhania kuwa ni mwizi.
Wakati Serikali kupitia Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ikitangaza itazuia mazao na bidhaa zote za kilimo kutoka Malawi na ...