News

The insurance business continues to deliver good results, with Profit Before Tax rising 27% to Kshs 414 million from Kshs 321 ...
Wakili Mkuu wa Serikali, Dk Ally Possi amesema Serikali itashirikiana na vyama viwili vya mawakili katika masuala ya kisheria ...
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameandika historia mpya kwenye muziki huo usiku wa kuamkia leo Juni 14, 2025, baada ya kuujaza ukumbi wa Royal Albert uliopo jijini London kwa ...
Mtayarishaji na Muongozaji wa Tamthilia inayofanya vizuri katika mtandao wa YouTube ya ‘Dunia’ Issa Madinga maarufu Baba Asma ameweka wazi kukataa mapendekezo kadhaa kutoka kwa wamiliki wa ...
Filamu 68 zitachuana kuwania tuzo katika Tamasha la 28 la Kimataifa la Filamu (ZIFF) linalotarajiwa kuanza kufanyika Juni 25 ...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesogeza mbele mechi ya Ligi Kuu namba 184 baina ya Yanga na Simba uliopangwa kuchezwa Juni ...
Jeshi la Jadi Sungusungu Wilaya ya Shinyanga limeweka kanuni 33 zitakazotumika kudhibiti uhalifu kwenye maeneo yao ikiwa ni ...
Mbunge wa Viti Maalum Bernadetha Mushashu ameshangaa kwa nini Mkoa wa Kagera kila wakati unatajwa kuwa ni masikini.
Mawaziri wa Fedha wa nchi za Afrika Mashariki jana waliwasilisha bajeti za Serikali zao kwa mwaka wa fedha 2025/2026, huku ...
Mjadala unaoendelea kuhusu matishio ya kiusalama yakiwemo matukio ya ama watu kutekwa au kuuawa ambayo yamezua wasiwasi ...
Tanzania imeingiza kiasi cha Sh300 bilioni baada ya kuuza tani 150,000 za ufuta nje ya nchi kupitia Mfumo wa Stakabadhi za ...
Viongozi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Dodoma Mjini wamefikishwa mahakamani leo na kusomewa ...