ALIANZA aliyekuwa kocha mkuu, Sead Ramovic, kisha akafuata kocha wa makipa Alaa Meskini, kiasi cha kuanza kuzua maswali, ...
Hatimaye Al Hilal ya Sudan wamepangwa na kingingi Al Ahly kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ...
Droo ya robo fainali ya Kombe la Shrikisho Afrika imepangwa ambapo Simba itavaana na Al Masry ya Misri. Simba ambayo ndiyo ...
Kwenye ulimwengu wa mapenzi, inaonekana nyota wengi wa mpira wa miguu wanavutiwa zaidi na wanamitindo. Na hii siyo tu kwa ...
MASHUJAA juzi jioni ilikuwa uwanjani mjini Kigoma na kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Pamba Jiji, huku kocha wa timu hiyo ...
MANCHESTER UNITED imefichua ni kiasi gani ilichotumia kama fidia ya kumfukuza Erik ten Hag na Dan Ashworth huku deni lao ...
IMEFICHUKA Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola alimweka nje straika wake Erling Haaland katika mechi ya mtoano ya Ligi ya ...
LIVERPOOL na Manchester City zinapambana vitakuiwania saini ya beki wa kulia wa Bayer Leverkusen na timu ya taifa ya Uholanzi ...
Droo ya robo fainali ya Kombe la Shrikisho Afrika imepangwa ambapo Simba itavaana na Al Masry ya Misri.
HIVI unayafuatilia mabao anayofunga mshambuliaji wa Mashujaa, David Ulomi? Hadi sasa nyota huyo ana mabao manne na yote ...
KIUNGO mshambuliaji wa Azam, Feisal Salum 'Fei Toto', ni mmoja ya wachezaji waliobahatika kubusiwa miguu uwanjani tangu akiwa ...
Jana Februari 19,2025 mwanamitindo Hamisa Mobetto na mumewe Aziz Ki walikuwa wakimalizia sherehe yao ya harusi waliyofunga ...