News
LIVERPOOL huenda ikawa na sura mpya kabisa kwenye safu ya ushambuliaji baada ya kudaiwa kuwa na mkwanja wa Pauni 300 milioni ...
NI kufa au kupona. Ndivyo unavyoweza kusema wakati Fountain Gate itakapokuwa ugenini kukabiliana na Coastal Union, Juni 18 ...
OFISA Habari wa zamani wa Simba na Yanga, Haji Manara ameshtakiwa polisi na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ...
SHERIA mpya na teknolojia mpya inafanya fainali za Kombe la Dunia za Klabu kuwa na mvuto tofauti kabisa kisoka tofauti na ...
ANTONY? Ndio. Amekaa kimitego sana. Namzungumzia huyu rafiki yetu wa Manchester United aliyepelekwa kwa mkopo kwenda Real ...
KIJIWENI kwetu hapa tulikuwa tunautazama msimamo wa Ligi Kuu Bara wakati huu ambao zimebaki raundi mbili msimu wa 2024/2025 ...
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), kupitia Kamati yake ya Mashindano, limetangaza kufuatilia kwa kina tukio ...
Uongozi wa timu ya Fountain Gate FC yenye makazi yake Babati mkoani Manyara imemsimamisha nyota wao Salum Kihimbwa kwa muda ...
MABOSI wa Simba sasa imebaki wao tu kuweza kumaliza kazi kwa kwenda ‘kuvunja’ benki ili kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji ...
APEWE nani? Hivyo ndivyo unaweza kusema. Hii ni baada ya eneo la kiungo mkabaji katika kikosi cha Yanga kutokuwa na uhakika wa kucheza msimu ujao, baada ya nyota wote wanaocheza nafasi ...
MABOSI wa Zamalek ya Misri wanataka kupiga ndege wawili kwa jiwe moja baada ya kuripotiwa kukaribia kuipata saini ya nyota wa Yanga, Clement Mzize kiasi kikubwa cha pesa, kitakachomfanya ...
MSHAMBULIAJI wa Coastal Union, Maabad Maulid huenda akakosa mechi zote mbili zilizosalia za kumaliza Ligi Kuu Bara msimu huu, kutokana na kutokuwa fiti kwa asilimia 100 kwa sasa, baada ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results