News

LIVERPOOL huenda ikawa na sura mpya kabisa kwenye safu ya ushambuliaji baada ya kudaiwa kuwa na mkwanja wa Pauni 300 milioni ...
Saa chache baada ya Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB), kupanga tarehe ya mchezo wa Yanga dhidi ya Simba, Mwenyekiti wake Steven ...
TIMU ya taifa ya Burundi imeanza vyema kampeni za kutafuta ubingwa wa mashindano ya CECAFA Senior Women Championship 2025 kwa ...
LIGI Kuu Bara imesaliwa na jumla ya mechi 17 kabla ya msimu kufikia tamati, lakini kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal ...
MZIGO umerudi. Ndivyo unavyoweza kusema kwa ishu ya Dabi baada ya sasa kutangazwa itapigwa Juni 25 na si keshokutwa Jumapili ...
VIKTOR Gyokeres ametishia kuingia kwenye mgomo ili kulazimisha kuuzwa dirisha hili la majira ya kiangazi, imeelezwa.
ILE siku imefika. Mambo ni moto huku kwenye fainali za Kombe la Dunia la Klabu na utepe utakatwa uwanjani Hard Rock, Florida ...
KIPYENGA cha fainali za Kombe la Dunia la Klabu 2025 kinapulizwa na Inter Miami ya Marekani itakata utepe na Al Ahly ya Misri ...
ARSENAL imeripotiwa kukoleza moto kunasa saini ya straika Viktor Gyokeres kutoka Sporting CP kwenye dirisha hili la uhamisho ...
Wilcox alisema: “Kumsajili Matheus ilikuwa moja ya vipaumbele vyetu vikubwa kwenye dirisha hili, hivyo tumefurahi kwa kukamilisha usajili huu. Ameonyesha uwezo mkubwa na kufanikiwa kwenye Ligi Kuu ...
KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, David Ouma amesema amebakiza siku mbili ikiwa sawa na saa 48 za maandalizi ya mwisho kabla ...